Kamati ya Wataalamu ya Utekelezaji wa Hati ya Makubaliano kati ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara Zanzibar (ZANROADS) wamekutana leo mkoani Morogoro katika kikao cha kuandaa mpango kazi wa utekelezaji wa makubaliano 19 yaliyopitishwa katika MoU, kufuatia maelekezo ya Watendaji Wakuu wa taasisi hizo.
No comments:
Post a Comment