📍Arusha 📍
Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho hayo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia alikuwa akimwakilisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye amesema Tanzania kwa kushirikiana na nchi wanachama wengine wa umoja huo wametimiza ndoto ya waasisi wa umoja huo na mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kuhakikisha baada ya Tanzania kuweka nia na dhamira ya kuwa mwenyeji wa makao makuu ya umoja huu ndoto sasa ya kuwa na jengo lenye hadhi ya umoja huo imetimia.
No comments:
Post a Comment