Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Dar es Salaam.
Taarifa ya kifo chake imetangazwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.
Na Edward Winchislaus, Dodoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo disemba 18,2025 kimefanya mahafali yake ya 16 na kuhitimisha jumla ya wanaf...
No comments:
Post a Comment