WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MKUTANO WA WADAU WA ELIMU DODOMA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, March 25, 2024

WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MKUTANO WA WADAU WA ELIMU DODOMA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 25, 2024 ni mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa elimu mkoa wa Dodoma na mafanikio ya miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkoa wa Dodoma.


📍Ukumbi wa Chuo cha Biblia (TAG-DODOMA).
🗓️ Machi 25, 2024.

No comments:

Post a Comment