BASHUNGWA NA MAVUNDE WAKUTANA KUWEKA MIKAKATI YA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, April 17, 2024

BASHUNGWA NA MAVUNDE WAKUTANA KUWEKA MIKAKATI YA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI.


Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Malighafi za ujenzi wa miundombinu itakayosaidia Makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati na ubora unaotakiwa kwa mujibu wa mikataba.

Kikao hicho kimefanyika leo Aprili 17, 2024 na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya pamoja na timu ya wataalmu kutoka Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Madini na Wakala wa Barabara (TANROADS).

No comments:

Post a Comment