DKT. BITEKO AMTEMBELEA MZEE STEPHEN MASHISHANGA NYUMBANI KWAKE MOROGORO - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, April 11, 2024

DKT. BITEKO AMTEMBELEA MZEE STEPHEN MASHISHANGA NYUMBANI KWAKE MOROGORO


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, Amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake, Mtaa wa Forest, Mkoani Morogoro Aprili 11, 2024.

No comments:

Post a Comment