KUNENGE APOKEA SHEHENA YA VYAKULA KUTOKA KWA DKT. SAMIA KWA AJILI YA WAHANGA WA MAFURIKO RUFIJI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, April 16, 2024

KUNENGE APOKEA SHEHENA YA VYAKULA KUTOKA KWA DKT. SAMIA KWA AJILI YA WAHANGA WA MAFURIKO RUFIJI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge wakati akipokea shehena ya vyakula mbalimbali kutoka kwa Mhe. Dkt Samia suluhu Hassan kwaajili ya wahanga wa mafuriko wilayani Rufiji Mkoani Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge(kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele (katikati) shehena ya chakula iliyotoka kwa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwaajili ya wahanga wa mafuriko wilayani Rufiji.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge(kushoto) akikabidhiwa shehena ya vyakula mbalimbali na Bw. Innocent Mbilinyi kutoka kwa Mhe. Dkt Samia suluhu Hassan kwaajili ya wahanga wa mafuriko wilayani Rufiji Mkoani Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge(katikati) akikabidhiwa baadhi ya vitu vilivyoletwa kwaajili ya msaada wa wahanga wa mafuriko kutoka kwa Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Shekh. Khamis Mtupa(kulia) Kwaniaba ya Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment