MATUKIO KATIKA PICHA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, April 15, 2024

MATUKIO KATIKA PICHA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama wakati wa Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha Sita tarehe 15 Aprili, 2024.
Ktibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akitambulishwa bungeni tarehe 15 Aprili, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha Sita.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akiwasili bungeni tarehe 15 Aprili, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha Sita.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (wa kwanza kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Deogratius Ndejembi (wa pili kutoka kushoto) Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ( wa kwanza kulia) pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu k Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi wakiteta bungeni tarehe 15 Aprili, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha Sita.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Zanzibar
Mhe. Hamza Hassan Juma (Wa kwanza kushoto), Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (katikati) pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu ( Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bi. Mary Maganga wakiwa bungeni tarehe 15 Aprili, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Bunge kikao cha Sita unaoendelea Bungeni Dodoma.




No comments:

Post a Comment