Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA , Bw.Msafiri Mtepa akijibu hoja wakati wa semina kuhusu ukokotoaji wa bei za bidhaa za mafuta kwa kwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini,leo 27.5.2024, Bungeni Dodoma
...............
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), leo 27.5.2024 imeendesha semina ya siku moja kuhusu Ukokotoaji wa bei za bidhaa za mafuta kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.Semina hiyo pia imehudhuriwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga (Mb), Kamishna wa Petroli na Gesi wa Wizara ya Nishati, Goodluck Shirima pamoja watendaji wengine wa Wizara ya Nishati na EWURA.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA , Bw.Msafiri Mtepa akijibu hoja wakati wa semina kuhusu ukokotoaji wa bei za bidhaa za mafuta kwa kwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini,leo 27.5.2024, Bungeni Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa kwenye semina kuhusu ukokotaji wa bei za bidhaa za mafuta iliyotolewa na EWURA leo 27.5.2024, Bungeni Dodoma
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mh.Kilumbe Ng’enda (Mb) akiishukuru Wizara na EWURA kwa kuandaa semina ya kuwajengea uelewa, waheshimiwa wabunge leo 27.5.2024,Bungeni Dodoma.
Naibu Waziri wa Nishati Mh.Judith Kapinga (Mb) akifafanua jambo wakati wa semina ya kuwajengea uelewa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini,leo 27.5.2024,Bungeni Dodoma
No comments:
Post a Comment