LAWI AAGA RASMI, ASHUKURU KWA KILA KITU. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, May 31, 2024

LAWI AAGA RASMI, ASHUKURU KWA KILA KITU.


Mchezaji na beki wa Coastal Union Lameck Lawi ameaga rasmi kuwa ataondoka kwenye kikosi hicho baada ya mchezo wao wa mwisho wa Ligi kuisha dhidi ya KMC FC.


Mchezo huo wa mwisho kwake dhidi Ya KMC FC ulitamatika kwa Sare ya 0-0 huku akicheza dakika zote 90.


Hata hivyo taarifa za awali zinaeleza kuwa Lawi atajiunga na kikosi cha Simba SC kwa ajili ya msimu ujao 2024/2025.




No comments:

Post a Comment