MATUKIO KATIKA PICHA-UZINDUZI MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, May 8, 2024

MATUKIO KATIKA PICHA-UZINDUZI MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA


Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.

Hafla hiyo inafanyika (leo) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

*Kaulimbiu: “Nishati Safi ya Kupikia kwa kila Mtanzania”*

No comments:

Post a Comment