ABUYA AITWA HARAMBEE STARS. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, June 3, 2024

ABUYA AITWA HARAMBEE STARS.



Mchezaji na kiungo wa kikosi cha Ihefu FC Duke Abuya ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Kenya  maarufu kama Harambee Stars.


Harambee Stars itacheza michezo miwili dhidi ya Burundi na Ivory Coast kwa ajili ya kuwania nafasi Ya kufuzu Kombe la Dunia 2026.




No comments:

Post a Comment