Klabu ya Pamba FC imemtangaza rasmi Kocha Goran Kopunovic kuwa Kocha mkuu wa kikosi hicho kuelekea msimu mpya wa Ligi kuu ya NBC 2024/2025.
Goran Kopunovic msimu uliyopita alikuwa akikiongoza kikosi cha Tabora United kabla ya kuachana na timu hiyo mwisho wa msimu.
Kocha huyo amewahi kuifundisha klabu ya Simba SC, Tabora United na sasa anakwenda kuifundisha Pamba FC kwa hapa Tanzania.
#UsajiliNBC
No comments:
Post a Comment