Mamia ya wabunge hawawezi kuondoka bungeni huku polisi wakiendelea kupambana na waandamanaji ambao wamefika katika majengo hayo.
Ripota wa runinga nchini humo anasema wabunge wengi wamejificha sehemu ya chini ya mejngo ya bunge.
Waandamanaji wameharibu sehemu ya jengo la bunge ambapo moshi mkubwa ulionekana.
Polisi wanajaribu kuwaondoa waandamanaji ambao wamepata kuingia katika majengo ya bunge.
No comments:
Post a Comment