Mafunzo ya Mfumo shirikishi wa Kielektroniki wa masuala ya Ufuatiliaji na Tathmini kuongeza tija katika utendaji Serikalini
Mafunzo ya Mfumo shirikishi wa kielektroniki
unaowezesha kufanya Ufuatiliaji na Tathmini ya miradi Kwa kuzingatia Geografia (GIS) ya sehemu yaliyolenga kujenga na kuimarisha uelewa wa masuala ya Ufuatiliaji na Tathmini Nchini kwa kutumia Teknolojia ili kuwezesha Serikali kufanya maamuzi shirikishi.
Mafunzo yamefanyika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma tarehe 5 Juni, 2024
No comments:
Post a Comment