Thabit Kandoro amesaini mkataba wa kuwa Mtendaji mkuu CEO wa timu ya Kagera Sugar akichukua nafasi ya Ibrahim Mohamed ambaye alimaliza mkataba wake na kuamua kutoongeza tena.
Ikumbukwe kuwa alikuwa akichuana na Dismas Ten pamoja na Haji Mfikirwa na yeye kufanikiwa kama ambavyo “Nassibu Mkomwa” anavyo ripoti.
Hata hivyo Kandoro aliwahi kuwa Meneja wa Yanga SC na kaimu katibu, CEO wa Fountain Gate Sports pamoja na CEO wa Tabora United kwa msimu uliyopita.
#UsajiliNBC
No comments:
Post a Comment