Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akiteta jambo na Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa wakati wa Kikao cha Kumi na Moja cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kilichofanyika Tarehe 09 Juni, 2024 Ukumbi wa Mikutano wa JNCC Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, Salum Kassim Ali na kulia ni Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Balozi Mohamed Haji Hamza. |
No comments:
Post a Comment