
Balozi wa Brazil nchini Tanzania Mheshimiwa Gustavo Martins Nogueira leo Alhamis tarehe 18 Julai 2024 amekutana na kuzungumza na Dkt. Felix Wandwe, ndc Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR), pamoja na mambo mengine wamejadili fursa mbalimbali zilizopo za ushirikiano wa Kitaaluma baina ya Tanzania na Brazil.


No comments:
Post a Comment