Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi Ameongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kilichohusu Usimamizi wa Mazingira katika Bonde la Rufiji na vyanzo vya Maji kikao hicho kimefanyika tarehe 17 Julai 2024, Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kilichohusu Usimamizi wa Mazingira katika Bonde la Rufiji na vyanzo vya Maji, kilichofanyika tarehe 17 Julai 2024 Jijini Dodoma.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment