MHE. PHAUSTINE KASIKE, BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL), MHA. LADISLAUS MATINDI. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, July 15, 2024

MHE. PHAUSTINE KASIKE, BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL), MHA. LADISLAUS MATINDI.




Mkutano huo ulifanyika kwenye Ofisi za Shirika hilo zilizopo Jijini Dar es Salaam ambapo Viongozi hao walijadiliana namna ambavyo ndege za Shirika la ATCL zitaanza safari zake za abiria na mizigo kati ya Tanzania na Msumbiji.



Katika mkutano huo, Mhe. Balozi Kasike aliahidi kwamba Ubalozi wa Tanzania Msumbiji utatoa kila aina ya ushirikiano ili kuhakikisha ATCL inaanza safari za Msumbiji kama ilivyopangwa.



Imetolewa na Ubalozi wa Tanzania - Maputo.



No comments:

Post a Comment