MOHAMED MUSSA AIBUKIA KWA WAZEE WA MAPIGO NA MWENDO - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, July 17, 2024

MOHAMED MUSSA AIBUKIA KWA WAZEE WA MAPIGO NA MWENDO

 



Klabu ya Mashujaa FC imemtangaza mshambuliaji Mohamed Mussa 🇹🇿 kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka miwili kutokea Simba SC.


Mohamed Mussa pia amewahi kupita Mbeya City kabla haijashuka daraja.


Done ✅🔚✔️☑️


#UsajiliNBC

No comments:

Post a Comment