OSCAR PAUL ATAMBULISHWA KMC FC - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, July 4, 2024

OSCAR PAUL ATAMBULISHWA KMC FC


Klabu ya KMC imethibitisha na kumtangaza Osacl Paul Mwaigaga kama mchezaji wake mpya ambaye wamemnasa kutoka klabu ya Kakamega Home Boys ya Kenya.


Oscar ni raia wa Tanzania ambaye alijiunga na Kakamega msimu uliopita akitokea Tanzania Prisons.





No comments:

Post a Comment