VALENTIN BEKI MPYA SIMBA SC - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, July 4, 2024

VALENTIN BEKI MPYA SIMBA SC



Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Valentin Nouma (24) 🇧🇫 akiwa mchezaji huru  akitokea Saint Éloi Lupopo 🇨🇩.


Mkataba wake utakuwa ni mwaka mmoja wenye chaguo la kuongeza mwingine.


#UsajiliNBC




No comments:

Post a Comment