WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KIST - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, August 27, 2024

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KIST



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Agosti 27, 2024 anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST).


Hafla hiyo unafanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.


Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni “_Uimarishaji wa Taaluma ya Uhandisi Ujenzi kwa Maendeleo Endelevu ya Nchi_”




No comments:

Post a Comment