Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Maputo, Msumbiji tarehe 06 Septemba, 2024 kwa Ziara ya Siku Tatu.
Akiwa Msumbiji, Mhe. Rais Mwinyi atashiriki kama Mgeni Rasmi, katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Siku ya Ushindi (Victoria Day) yatakayofanyika tarehe 07 Septemba, 2024.
No comments:
Post a Comment