Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira mapema leo imewasili mkoani Tanga kwa kazi ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji mkoani hapo ikiongozwa na mwenyekiti wake Mhe Jackson Kiswaga(Mb)
Kamati hiyo imepokelewa na Mkuu wa Mkoa na Tanga Mhe Batilda Buriani na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) na Katibu Mkuu wa Wizara Mhandisi Mwajuma Waziri
No comments:
Post a Comment