MNDEME AONGOZA UTOAJI ELIMU YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, September 18, 2024

MNDEME AONGOZA UTOAJI ELIMU YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akitoa elimu ya matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa wananchi ambapo ameanza ziara mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania kwa ajili ya kutoa elimu hiyo ya kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia na leo Septemba 17,2024 alikuwa Mpanda mkaoni Katavi.
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (kulia), Naibu katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Bi. Felista Mdemu (kulia) na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Katavi Mhe. Nehemia James mara baada ya kutoa elimu ya kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa makundi mbalimbali Mpanda mkaoni Katavi na leo Septemba 17,2024.
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (kulia) pamoja na Naibu katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Bi. Felista Mdemu baada ya kukitoa elimu ya kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa makundi mbalimbali Mpanda mkaoni Katavi na leo Septemba 17,2024.
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (katikati) akiwa na viongozi mbalimbali mara baada ya kutoa elimu ya kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa makundi mbalimbali Mpanda mkaoni Katavi na leo Septemba 17,2024.
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akiteta jambo na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Katavi Mhe. Nehemia James wakati akitoa elimu ya kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Mpanda mkaoni Katavi na leo Septemba 17,2024.

No comments:

Post a Comment