Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (katikati) alipokuwa mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya utoaji elimu na uhamasisahi wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambapo mikoa mitano itanufaika na elimu hiyo ikiwemo Songwe, Mbeya na Njombe na tayari ametoa Rukwa na Katavi. Wa kwanza kulia ni Naibu katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Bi. Felista Mdemu.
|
No comments:
Post a Comment