Muonekano Mpya Serengeti beer - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, September 5, 2024

Muonekano Mpya Serengeti beer

Serengeti Breweries Limited imezindua muonekano mpya na maridadi kwa chapa zake pendwa, ikiwemo Serengeti Premium Lager, Serengeti Premium Lite, na Serengeti Premium Lemon. Mabadiliko haya yanalenga kusherehekea urithi wa kitanzania na ubora ambao Watanzania wameuzoea, huku ikiwavutia kizazi kipya cha wapenzi wa bia.

Serengeti Premium Lemon

Serengeti Premium Lager

Serengeti Premium Lite

No comments:

Post a Comment