New
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken leo siku ya Alhamisi, Septemba 5, anafanya ziara nchini Haiti kabla ya ziara yake katika Jamhuri ya Dominika.
Huko Port-au-Prince, atatangaza usaidizi wa Marekani kwa kikosi cha kimataifa chenye lengo la kuleta usalama katika nchi hiyo iliyoathiriwa na ghasia za magenge lakini kutumwa kwa kikosi hiki na ufadhili wa Marekani bado umewekewa kikomo.
No comments:
Post a Comment