Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe leo November 27, 2024 ameshiriki zoezi la kupiga kura katika kituo cha Mfoni, kitongoji cha Muro, Kijiji cha Nshara, Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro.
Katika hatua nyingine Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu pia amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji katika kijiji cha Ngalinje, Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma leo.
No comments:
Post a Comment