WAZIRI BASHUNGWA AWASILI MKOANI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, November 29, 2024

WAZIRI BASHUNGWA AWASILI MKOANI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI



Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 29 Novemba, 2024 amewasili Mkoani Shinyanga na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya barabara na madaraja.

Katika ziara hiyo, Waziri Bashungwa atatembelea na kukagua miradi ikiwa ni pamoja na madaraja yaliyoharibiwa na mvua katika Jimbo la Ushetu pamoja na kuzungumza na wananchi.



No comments:

Post a Comment