WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MZEE TUTUBA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, November 3, 2024

WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MZEE TUTUBA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo November 03, 2024 amehani msiba wa Mzee John Tutuba ambaye ni baba mzazi wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es salaam

Mzee Tutuba alifariki Novemba 01, 2024 katika Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam alikokuwa akitibiwa.




No comments:

Post a Comment