Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Utendaji wa Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Neema Kilembe ameongoza Kikao Kazi cha kujadili Mpango Kazi wa shughuli za Kuimarisha Ufuatiliaji na Tathmini nchini zitakazogharamiwa na Shirika la Misaada ya kimataifa la Marekani (USAID) kupitia mradi wake wa USAID T-MELA.
Kikao kazi hicho ni mwendelezo wa utekelezaji wa Mkataba wa Mashirikiano ulioingiwa baina ya OWM na Mradi wa USAID-TMELA mnamo mwezi Septemba, 2024.
Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi hiyo jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment