
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu, leo tarehe 27 Januari, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Utangulizi kutoka Wizara ya Katiba na Sheria ikiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Msaada wa Kisheria Ester Msambazi (wa kwanza kushoto) ikiwa ni sehemu ya mpango wa Maandalizi ya Utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria Mama Samia Legal Aid Campaign Mkoani Kilimanjaro, mnamo tarehe 29 Januari, 2025.

No comments:
Post a Comment