WATUMISHI REA WAYAPAMBA MAONESHO YA MKUTANO WA M300 - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, January 27, 2025

WATUMISHI REA WAYAPAMBA MAONESHO YA MKUTANO WA M300


Watumishi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wameyapamba maonesho yanayoendelea katika mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika jijini Da es Salaam.

Mkutano huo umefunguliwa leo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko



No comments:

Post a Comment