KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA KONGWA YAJA NA MUAROBANI WA KUZUIA UHALIFU. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, February 20, 2025

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA KONGWA YAJA NA MUAROBANI WA KUZUIA UHALIFU.


Picha na Matukio mbalimbali zikimuonyesha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), George Katabazi na kamati ya ulinzi na usalama wilaya kongwa akizungumza na watendaji wa Wilaya hiyo Februari,21,2025

Katabazi amewataka watendaji hao kushirikiana kwa pamoja kuweka mikakati ya kuzuia na kutanzua uhalifu ikiwa ni pamoja kuishirikisha jamii katika utoaji wa taarifa za uhalifu na wahalifu.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe, Meyaka Simon Meyaka ameweka mkazo kwa watendaji wa Halmashauri hiyo kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu na kushirikiana na wananchi.

Kikao hicho kimekutana na kuweka maadhimio ya pamoja yatakayo leta maandeleo kwa wananchi hususani uanzishwaji wa vikundi vya ulinzi shirikishi,kudhibiti wizi wa mifugo
na kueneza dhana ya Polisi Jamii ili kuinusuru jamii na vitendo vya kihalifu.





No comments:

Post a Comment