
Picha na Matukio mbalimbali zikimuonyesha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), George Katabazi akitoa msaada Februari,15,2025 kwa baadhi ya wagonjwa walioshindwa kumudu gharama za matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma.
Aidha Katabazi amesema msaada huo ni michango iliyochangishwa na askari Polisi pamoja na wadua mbalimbali wa ulinzi na usalama katika Sherehe za "Polisi Family Day" zilizofanyika hivi karibuni na kuamua kuwashika mkono wananchi wenye uhitaji ikiwa ni moja falsafa ya Polisi Jamii.








No comments:
Post a Comment