RPC KATABAZI AONGOZA ASKARI KUPIMA AFYA. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, February 27, 2025

RPC KATABAZI AONGOZA ASKARI KUPIMA AFYA.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP), George Katabazi ameongoza Maafisa,Wakaguzi na askari wa Vyeo mbalimbali wa Mkoa huo katika zoezi la upimaji wa afya ili kujua changamoto za afya zao na kufuata maelekezo ya watalamu.

Aidha Katabazi amehamasisha Jamii kuweka utaratibu wa kupima afya mara kwa mara pamoja na kuchangia damu kwa watu wenye uhitaji ili kuwanusuru watu wenye changamoto hiyo.

Katika zoezi hilo la upimaji wa afya liloenda sambamba na semina ya utolewaji wa elimu ya magonjwa yasiyo ya ambukiza elimu ya ukatili wa kijinsia na kuwataka askari kufuata sheria na kanuni pindi wanapo tekeleza majukumu yao.





No comments:

Post a Comment