
Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) wameshiriki sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa jijini Arusha.




Na OKULY JULIUS, OKULY BLOG DODOMA SERIKALI imesema itaendelea kuboresha miundombinu na kuongeza uwekezaji katika sekta ya utalii ili kuonge...
No comments:
Post a Comment