HUDUMA YA INTERNET BANKING KWENYE MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA YAZINDULIWA RASMI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, March 13, 2025

HUDUMA YA INTERNET BANKING KWENYE MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA YAZINDULIWA RASMI


Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Benk ya NMB kwa pamoja wamezindua Huduma ya Internet Banking kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Lengo ni kuchochea Mustakabali endelevu wa matumizi ya Kidigitali katika kuwezesha huduma za kijamii.

Uzinduzi huu umefanyika leo tarehe 13.03.2025 katika ukumbi wa Jiji - Mtumba na Mgeni rasmi alikua Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI Bw. Adolf Ndunguru

No comments:

Post a Comment