Alhaj Omary Mchengerwa, alifariki dunia akiwa katika ibada ya Umrah, Medina.
Wananchi wa Utete Wilayani Rufiji wamefanya Dua maalum ya kumuombea baba mzazi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa aliyefariki dunia Februari 24, 2025.
No comments:
Post a Comment