Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 28, 2025 amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambanga (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dkt. Suzan Kaganda (kulia), kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam.
Friday, March 28, 2025
New
WAZIRI MKUU AKUTANA NA MABALOZI WA TANZANIA NCHI ZA ZIMBABWE NA RWANDA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment