HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2025/26 OFISI YA RAIS UTUMISHI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, April 23, 2025

HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2025/26 OFISI YA RAIS UTUMISHI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwasilisha Hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.

Viongozi na Wakuu wa Taasisi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza jambo na Viongozi wa Ofisi yake baada ya kuwasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (kulia) akitakiana heri na Naibu Waziri wa Ofisi yake Mhe. Deus Sangu (kushoto) wakati Waziri huyo akielekea kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wakuu wa Taasisi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kabla ya kuwasilisha Hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akifurahia jambo na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Mick Kiliba. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedict Ndomba.

Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Mahendeka (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu-UTUMISHI Bw. Juma Mkomi (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Xavier Daudi (kushoto)


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwasili Bungeni kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi yake kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment