
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Akili Unde Barani Afrika, ambapo Tanzania inawakilishwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, pamoja Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa.
Mkutano huo unafanyika Kigali, nchini Rwanda tarehe 3-5, 2025 na utarajiwa kuhudhuriwa na wakuu wa nchi za Afrika, viongozi, pamoja na wadau wa Teknolojia kutoka maeneo mbalimbali ya nje na ndani ya Bara la Afrika.
















No comments:
Post a Comment