WABUNGE WAPIGWA MSASA NA AQRB - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, April 24, 2025

WABUNGE WAPIGWA MSASA NA AQRB


Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria ndogo wakiwa katika Semina ya kujengewa uelewa kuhusu Sheria ya Usajili ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi Namba 4 ya Mwaka 2010 na Sheria Ndogo (GN. No. 879/2024 na mabadiliko yake, leo Aprili 24, 2025 Bungeni jijini Dodoma.

Aidha, Semina hiyo imeshirikisha wataalamu kutoka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) wakiongozwa na Msajili wa Bodi hiyo, Arch. Edwin Nnunduma pamoja na wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi, Wakiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), QS. Nyaswa Machibya.

No comments:

Post a Comment