
HABARI PICHA: Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Innocent Bashungwa wameungana na waombolezaji katika mazishi ya Ally Hamidu Aweso Mdogo wa Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso aliyefariki ghafla siku ya jana tarahe 9 Mei 2025 mkoani Dodoma
Mazishi hayo yamefanyika Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga leo tarehe 10 Mei 2025 katika Makaburi ya familia yaliyopo kijiji cha Sakura kata ua Kipumbwi Pangani


















No comments:
Post a Comment