
Leo Mei 4, 2025, Zitto Kabwe, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Kigoma Mjini. Fomu hiyo alikabidhiwa na Katibu wa Jimbo la Kigoma Mjini, Idd Adam.


Na OKULY JULIUS , Dodoma Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema ataanza kazi...
No comments:
Post a Comment