BALOZI NCHIMBI MSIBANI KWA NDUGU MALIMA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, June 21, 2025

BALOZI NCHIMBI MSIBANI KWA NDUGU MALIMA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa familia ya marehemu Mobutu Malima, nyumbani kwake Kishili, Nyamagana, mkoani Mwanza, tarehe 20 Juni 2025.

Ndugu Malima, ambaye alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Naibu Katibu Mkuu (Bara), Makao Makuu ya CCM, Dodoma alifariki tarehe 15 Juni na anatarajiwa kuzikwa Jumapili, tarehe 22 Juni 2025, eneo la Ihayabuyaga, Magu, mkoani Mwanza.

No comments:

Post a Comment