WANANCHI WAJITOKEZA ENEO LA MSUNJULILE ANAPOZIKWA HAYATI NDUGAI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, August 11, 2025

WANANCHI WAJITOKEZA ENEO LA MSUNJULILE ANAPOZIKWA HAYATI NDUGAI


Wananchi wajitokeza eneo atakalozikwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai katika Kijiji cha Msunjulile, Kitongoji cha Mandumbwa wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma leo 11 Agosti, 2025.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji katika zoezi la kumpumzisha Hayati Ndugai katika Nyumba yake ya Milele.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)





No comments:

Post a Comment